I write this blog as a dedication to My mum,grand dad who are are in iwindi village,and to all those people around them and for mbalizi and mbeya in general!
Sunday, March 15, 2009
Nimekutana na Majid Mjengwa Dar
My holiday was nice and nilifurahi sana pale siku moja nilipokuwa nikipata kifungua kinywa cha maziwa,chapati na vitumbua katika mgahawa mmoja pembeni mwa Lumumba road.Huyu kaka namkubali wa kuweka picha za kuonesha the really Tanzania kwa kila kona ya nchi,hata kule kusikofikika yeye hufika. All the best bro in your majukumu!
No comments:
Post a Comment